Karibu sana Monowi Dairy Farm!

Tunayo furaha kubwa kukukaribisha wewe mpendwa wetu uweze kutumia bidhaa zetu za Monowi Dairy Farm. Kufika kwako hapa kuna maana kubwa sana kwetu kama familia. Tunajisikia furaha kubwa kuwa nawe leo hii tunaponadi bidhaa zetu pendwa za Monowi Dairy Farm. 

Hapa Monowi Dairy Farm tunatoa bidhaa mbalimbali zikiwa katika ubora wa hali ya juu ambao unakubalika kitaifa na kimataifa katika kulinda afya ya mlaji. Baadhi ya bidhaa zetu ni kama ifuatavyo:

  • Maziwa freshi
  • Maziwa mtindi (Yoghurt)
  • Jibini (Cheese)